MCHEZESHAJI WA MICHEZO
Mbeya
Posted 11 hours ago
Job Description
Kwa niaba ya mteja wetu, tunatafuta mchezeshaji wa michezo ya kubahatisha, atakayeweza kufanya kazi na kampuni.
Requirements
SIFA ZA MUOMBAJI
- Awe mtanzania mwanaume au mwanamke.
- Afya njema na utimamu wa akili.
- Umri kuanzia miaka 20-30.
- Ajue kuongea vizuri kiswahili na kiingereza.
- Elimu kuanzia kidato cha 4 na kuendelea.
- Awe teyari kufanya kazi Mbeya VIAMBATINISHOVYAMUOMBAJI
- Barua ya utambulisho wa serikali ya mtaa.
- TIN namba na NIDA
- Barua ya maombi ya kazi(CV) na vyeti vya shule